Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 27, 2016

Fisi amesababisha taharuki nchini Afrika kusini.somabzaid.

Maafisa wa mbuga ya wanyamapori nchini Afrika
Kusini wamewashauri waweni kuwa makini,
baada ya fisi kumshambulia mtoto wa umri wa
miaka 15 alipokuwa amelala ndani ya hema
katika mbuga ya Kruger.
Msemaji wa mbuga za wanyamapori William
Mabasa, aliwashauri wageni kuchukue tahadhari
kila wakati, kwa kuwa kuna wanyamapori
wanaowazunguka, na kuwataka wahakikishe
kuwa hema zao zimefungwa vizuri.
Mtoto huo alifanyiwa upasuaji ili kupata matibu
kwenye mdomo, kutokana na majeraha
aliyoyapata kufuatia shambulizi hilo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top