Home
Unlabelled
Japan imedhamilia kuisaidia tanzania katika sekta ya kilimo.soma zaid.

Balozi wa Japani nchini Tanzania Masaharu Yoshinda amesema Japani imedhamiria kuisadia Tanzania katika kuboresha Kilimo cha umwagiliaji kwa kuipatia Teknolojia na mitambo ya kisasa ili wakulima wake waondokane na umasikini uliyo kithiri na waingie kwenye soko la ushindani katika wakati huu wa sayansi na Teknolojia.

Mkuu wa chuo cha ufundi arusha Dk. Richard Masikia amesema mtambo huu ni mkubwa na wakisasa zaidi kwenye nchi za Afrika Mashariki na kati na mbali ya kusaidia wakulima pia utawawezesha kutoa elimu bora kwa watalaam wa Kilimo cha umwagiliaji.
Katibu mkuu wa wizara ya elimu Sayansi na Teknolojia Maimuna Tarishi amesema mtambo huu utaiwezesha Tanzania kutimiza ndoto ya kuwaondoa wakulima wake katika wimbi la umasiki
Chanzo: ITV
0 comments :
Post a Comment