Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, June 22, 2016

Kamanda kova aagwa rasimi na jeshi la polisi.soma zaid.

KAMANDA KOVA AAGWA RASMI NA JESHI LA
POLISI
Kamishna Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Suleiman
Kova ameagwa rasmi na jeshi hilo baada ya
kustaafu utumishi, ambapo sherehe za kumuaga
zimefanyika leo Chuo cha Polisi Moshi.
Maofisa, wakaguzi, askari na wageni mbalimbali
walihudhuria sherehe hizo, mgeni rasmi alikuwa
Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman
Kaniki.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top