Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, June 22, 2016

Moise katumbi ahukumiwa miaka 3 kwenda jela.soma zaid.


Mgombea urais wa upinzani nchini Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo Moise Katumbi,
amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela kwa
kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji
ulio mashariki mwa nchi wa Lubumbashi.
Pia alipigwa faini ya dola milioni 6.
Katumbi hakuwa mahakamani wakati wa
kutolewa kwa hukumu hiyo, baada ya kusafiri
kwenda afrika kusini kupata matibabu siku moja
baada ya serikali kutangaza waranti wa
kukamatwa kwake kwa mashtaka tofauti.
Analaumiwa kwa kuwaajiri mamluki wa kigeni ili
kipanga njama dhidi ya serikali.
Katumbi amekosoa hukumu hiyo, akisema kuwa
ni jaribio la kutaka kuchelewesha kampeni yake
ya kutaka kumrithi Rais Joseph Kabila mwezi
Novemba.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top