Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 30, 2016

Kelele za sababisha kufungwa kwa misikiti na makanisa Lagos nchini Nigeria.soma zaid.

Mamlaka katika mji wa Lagos nchini Nigeria umefunga makanisa 60 na misikiti 20 katika jitihada za kupunguza kelele. Karibu hoteli kumi na klabu kadha nazo zilifungwa Mji wa Lagos una karibu watu milioni 10 huku, honi za magari, maombi kutoka misikitini na nyimbo makanisani vikitawala mji huo. Mwezi Agosti utawala ulifunga maeneo 22 baada ya wenyeji kulalamika kutokana na kele zilzokuwa zikitoka maeneo hayo.chanzo BBC Swahili.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top