Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, June 21, 2016

Mtu mmoja auwawa kwa fumanizi mkoani mwanza.soma zaid.


Mwanza. Mtu mmoja ameuawa katika tukio la
fumanizi.
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed
Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la
fumanizi kwa jina moja la Idd (35), fundi kinyozi,
mkazi wa kijiji cha Kome wilayani Ukerewe.
Alisema mtu huyo aliuawa kwa kupigwa hadi kufa
na watu wenye hasira baada ya kutuhumiwa
kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mmoja
wa mwana kijiji.chanzo mwananch.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top