Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 13, 2016

Pro.Lipumba atengua uamuzi wake wa kujiuzulu uenyekiti CUF.soma zaid

Mwenyekiti wa zamani wa CUF,Prof.
Ibrahim Lipumba amesema kuwa
amemwandikia Katibu Mkuu wa chama
hicho barua ya kutengua uamuzi wake wa
kujiuzulu Uenyekiti wa CUF.
Sasa anasubiri majibu toka kwa Katibu
Mkuu, Maalim Seif baada ya ombi lake
kujadiliwa na ngazi za juu za kichama.
Pia amesema Bajeti ya mwaka wa Fedha
2016/17 yenye thamani ya zaidi ya Trilioni
29.5 haiendani na uhalisia.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top