Tindu Lissu alala kituo cha polisi kati jijini Dar.soma zaid.
Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria
wa Chadema, Tundu Lissu, amelala kwenye Kituo
cha Polisi Kati, jijini Dar es Salaam, baada ya
jana kuhojiwa na Jeshi la Polisi kwa saa tatu na
leo anatarajiwa kufikishwa mahakamani,
akituhumiwa kwa makosa ya uchochezi na
kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu
masuala yaliyoko mahakamani.chanzo east Africa television.
0 comments :
Post a Comment