Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 13, 2016

Wanachama ACT wamsubili zitto hamu.soma zaid.


Wakuu habarini,
Tayari tupo makao makuu ya chama cha
ACT WAZALENDO tunamsubili Kiongozi wa
chama hicho Zitto Zuberi kabwe.
Waandishi wamejitokeza wengi kweli
kweli.
Viongozi wa chama wanaendelea na
maandalizi ya mkutano huo.
Ndani ya dakika chache zijazo mkutano
na waandishi unaanza.
Live Updates zitawajia kupitia mimi
mwenyewe.
Karibuni

0 comments :

Post a Comment

Back To Top