Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, June 9, 2016

Watato 6 wamefariki wakibatizwa mtoni nchini zimbabwe.soma zaid.

Watoto sita wamekufa maji bila kutarajiwa
katika sherehe za kubatizwa kwao katika
mto nchini Zimbabwe na kusababisha
hofu kubwa.
Habari zinadai kuwa watoto watatu
walinusurika kufa maji ya mto huo ambao
maji yake ni ya baridi baada ya watoto
hao kuonekana wakitetemeka kutokana na
baridi wakati miili ya wenzao waliokufa
maji ikiopolewa majini.
Polisi nchini Zimbabwe wamewatia
mbaroni watu wawili ambao ni wafuasi wa
dhehebu hilo la Kikristo kwa mahojiano
zaidi.
Sambamba na hilo mama mmoja ambaye
alidai kwamba ni nabii na kufanya jaribio
la kufufua wafu wakati wa ibada zake pia
amewekwa chini ya mikononi ya polisi.
=================================
====
Six children died while being baptised in
a river in eastern Zimbabwe yesterday,
police said this afternoon, adding that the
organisers of the event had tried to flee
before being caught.
The two boys and four girls were among
nine children aged between one and nine
who were taken for baptism by two
members of an apostolic church.
"Six juveniles died during baptism in
Muriwo village in Mashonaland East
[province] on Tuesday," police
spokeswoman Charity Charamba said in a
statement.
"We would like to warn members of the
public to desist from engaging in
dangerous practices under the guise of
freedom of worship."
A four-year-old boy escaped from the river
shivering with cold and alerted a passer-
by, she said.
"After realising the children were dead,
the culprits ran away from the scene but
they were later arrested. They are being
charged with culpable homicide."
Local media said those arrested were two
women aged 30 and 34.
Apostolic churches and sects in
Zimbabwe have grown in popularity in
Zimbabwe, which has suffered from years
of economic decline.
Source: RTE

0 comments :

Post a Comment

Back To Top