Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, July 27, 2016

Aliyemuua mwangosi ahukumia miaka 15 jela.

Mahakama kuu Kanda ya
Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 15 jela
askari Pasificus Simon kwa kosa la kumuua bila
kukusudia aliyekuwa mwandishi wa habari Daudi
Mwangosi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top