Auwawa kwa kukatwakatwa mapanga mke mwenza.soma zaid.
Nyangi Mwita mwenye umri wa miaka
30,ameuawa kwa kukatwa mapanga na
mke mwenza kutokana na wivu wa
mapenzi saa tatu asubuhi siku ya tarehe
28 Julai 2016 nyumbani kwa Nyankongo
Wambura katika kitongoji cha Kwirambo.
Mtuhumiwa wa mauaji alimsubiri mke
mwenza aliyekuwa ameenda kuteka maji
na alipofika nyumbani na kutua ndoo ya
maji,alimkata panga shingoni na kufariki
papo hapo.
Muuaji huyo alitoroka muda mfupi akiwa
na mwanae baada ya kutekeleza mauaji
hayo.
R.I.P Nyangi.
CHANZO:Mwanachi
0 comments :
Post a Comment