Freeman mbowe amewasili makao makuu ya jeahi la polis kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo.soma zaid
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendelea (Chadema), Freeman Mbowe leo
july 31 amewasili makao makuu ya jeshi la
polisi kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo
huku hali ya usalama ukiwa imeimarishwa
kabla na baada ya Mbowe kuwasili .
Mbowe akiwa na msafara wa magari nane
walikutana na ulinzi huo makali ambapo magari
ya Mbowe na Wakili Peter Kibatala ambaye
alikuwa na Tundu Lissu ndio yaliruhusiwa
kuingia.
Gari la Edward Lowassa na viongozi wengine
wamezuiwa kwenye geti la kuingia kituoni hapo
ambapo geti hilo limezibwa na gari la maji ya
kuwasha ili kutoruhusu gari yoyote kutoka au
kuingia
0 comments :
Post a Comment