Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, July 31, 2016

Msanii Irene Uwoya autamani ukuu wa wilaya baada ya kukosa ubunge.soma zaid.

Msanii wa filamu Irene Uwoya amefunguka kwa
kusema kuwa kama angepata nafasi ya ukuu
wa wilaya basi angefanya vizuri kwa kuwa ana
uwezo mkubwa wa kuongoza.
Irene Uwoyo
Muigizaji huyo ameimbia Bongo5 kuwa hakuwa
na matarajio yakuteuliwa lakini kama
angeteuliwa angeitendea haki nafasi hiyo.
“Mimi sijaomba wala sijawai kusema kama
nataka hiyo nafasi, lakini kama ikitokea naiweza
sana, nipo vizuri sana ndio maana hata
nikathubutu kugombea ubunge kwa sababu
nilijua naweza kuongoza,” alisema Irene Uwoya.
Muigizaji huyo mahiri aligombea ubunge wa viti
maalum Tabora lakini akakosa na kuhaidi
kujipanga katika uchaguzi ujao.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top