Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, July 5, 2016

Kampuni ya mabasi ya City Boy imefungiwa na SUMATRA.soma zaid.

Mamlaka ya Usafiri Ardhini(SUMATRA)
imeifungia Kampuni ya City Boy, ambayo
mabasi yake mawili jana yalisababisha
ajali mbaya iliyopelekea watu 30 kupoteza
maisha na wengine wengi kujeruhiwa.
Jana taarifa zilienea mtandaoni kuwa ajali
hiyo ilisababishwa na uzembe wa
madereva kwa kile kilichofahamika kuwa
walikuwa wakifanya mchezo barabarani
kwa kukimbizana huku wakipishana
kuelekea kila upande, na ikapelekea
kutokea kwa ajali hiyo mbaya.
Pia inasemekana kuna basi moja kati ya
hayo mawili lilipigwa tochi na polisi kwa
kuzidisha speed.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top