Mbunge Hafsa mossi ameuwawa kwa kupigwa risasi nchini Burundi.soma zaid.
Kumekuwepo na taarifa ambazo
zimesambaa katika mitandao mbalimbali
ya kijamii kuwa aliyekuwa mbunge wa
bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi,
Hafsa Mossi amefariki dunia.
Taarifa kutoka Burundi zinaeleza kuwa
serikali ya nchi hiyo tayari imethibitissha
kutokea kwa kifo cha mbunge huyo wa
EAC na ikielezwa kuwa Hafsa Mossi
amekutwa na mauti baada ya kupigwa
risasi katika eneo la Buja, Burundi.
Chanzo: DEWJI BLOG
0 comments :
Post a Comment