Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, July 13, 2016

Rais John magufuli amegawa madawati leo jijini Dar es salaam.soma zaid.

Katikati ni Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli,
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa, Meya wa jijini
la Dar es Salaam, Isaya Mwita, Kutoka
kushoto ni Naibu SpIka wa bunge
la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tulia Aksoni na Mbunge wa jimbo la
Iringa Mjini, Peter Msigwa wakiwa katika
picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi
madawati katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.
Sehemu ya Wanafunzi wakiwa wamekalia
kwenye madawati yatakayogawiwa leo na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ,
katika hafla ya ugawaji Madawati hayo,
inayofanyika hivi sasa kwenye viwanja
vya Karimjee, Jijini Dar es salaam.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top