Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, July 14, 2016

Samatta aendelea kung'ara ulaya aifungia goli timu yake Europa league.soma zaid.


Michezo ya kutafuta nafasi ya kushiriki Ligi ya
Vilabu Ulaya (Europa League) imeanza
kuchezwa barani Ulaya kwa michezo 33 kupigwa
kwa vilabu 66 vikitafuta nafasi ya kushirki
michuano hiyo.
Mtanzania Mbwana Samatta anayekipiga katika
klabu ya Genk ya Ubelgiji amefanikiwa kufunga
goli la kwanza katika michuano hiyo baada ya
kufunga goli la pili katika ushindi wa goli mbili
kwa bila ilioupata Genk.
Genk alipata ushindi huo katika uwanja wake wa
nyumbani wa Cristal Arena kwa kuifunga
Buducnost Podgorica ya Montenegro kwa
kuifunga magoli mawili yaliyofungwa na
Neeskens Kebano dakika ya 17 na Mbwana
Samatta katika dakika ya 79.
Mchezo wa marudiano katika ya Gnk na
Buducnost Podgorica unataraji kuchezwa Julai,
21.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top