Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, July 30, 2016

Tundu Lisuu amji Rais magufuli .soma zaid

Muda mchache baada ya Rais Magufuli
kutoa kauli akiwa Singida kuwa
walioshinda tu ndio wafanye siasa kwenye
maeneo yao ili wasiingie kwenye majimbo
mengine,
Lissu ameweka wazi kuwa Magufuli
anavunja umoja wa kitaifa.
Lissu alihoji kauli ya kwamba Chadema ni
marufuku kufanya siasa ilikoshinda CCM
na kinyume chake ndiko ulikofikia uwezo
wa Rais wetu wa kufikiri.?
Aliongeza kwamba, ni hawa ndio
wanaohubiri umoja wa kitaifa kila
kukicha?
Lissu aliweka bayana kuwa anachoweza
kujidai nacho Magufuli sio nguvu ya hoja
yake bali ni nguvu ya vyombo vya mabavu
anavyodhibiti.
Katika andiko hilo Lissu aliwaandishi
kutoshangilia mambo ambayo yanapaswa
kupuuzwa badala yake wayaweke wazi.janzo jamii forums.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top