Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, July 2, 2016

Wakuu wa wilaya 20 wako kikaangoni.soma zaid.

Ingawa wapo wengine ambao wanaweza kuwa na
ahueni katika utekelezaji wa majuikumu yao,
lakini wakuu wa wilaya 20 wako kikaangano, tena
wasipojiangalia mambo yanaweza kuwa mabaya
ndani ya muda mfupi ujao.
Dar es Salaam. Kama ulidhani kwamba uteuzi wa
wakuu wapya wa wilaya uliofanywa na Rais John
Magufuli unapaswa kufurahiwa na wateule,
sahau.
Ingawa wapo wengine ambao wanaweza kuwa na
ahueni katika utekelezaji wa majuikumu yao,
lakini wakuu wa wilaya 20 wako kikaangano, tena
wasipojiangalia mambo yanaweza kuwa mabaya
ndani ya muda mfupi ujao.
Mbaya zaidi mteuzi wao amewapa vigezo
ambavyo alivitumia wakati wa kuwateua.chanzo mwananch.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top