Augustino Mrema ameanza kazi kwa kishindo.soma zaid
Mwenyekiti wa Parole Augustino Mrema
amewataka madereva bodaboda kote
nchini kujiepusha na tabia za kushiriki
maandamano ya kisiasa yanayoandiwa na
baadhi ya wanasiasa kwa lengo la
kuvunja sheria za nchi.
Pia akaagiza waendesha bodoboda
Kinondoni wampe majina ya polisi
wanaowalazimisha kutoa rushwa,
atayakabidhi kwa rais Magufuli
0 comments :
Post a Comment