Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, August 31, 2016

CHADEMA Wametanga kusitisha operation UKUTA hadi Oktoba Mosi.soma zaid


Amaeongea kwa sasa ni mwenyekiti wa
CHADEMA taifa na anaongelea uamuzi wa
jeshi la wananchi kufanya usafi na
urushaji wa ndege siku ya leo ambayo
anasema haijawahi kufanya tangu uhuru.
Anasema anavyozungumza, katibu mkuu
(Salum Mwalimu) anaendelea kushikiliwa
na polisi mji wa Bariadi na ilikuwa leo
apelekwe mahakamani lakini polisi
wamesema wako bize.
Freeman Mbowe amesema maandamano
ya UKUTA yameahirishwa kwa mwezi
mmoja hadi tarehe Oktoba Mosi.
Mbowe: Tumepata wakati mgumu kufikia
uamuzi, sio kila wakati viongozi tutafanya
mambo yatayowapendeza wanachama
wetu. Viongozi wa dini awali walikuja na
ajenda moja, kuomba wabunge wa
UKAWA warejee bungeni. Kamati kuu ya
CHADEMA imepokea kwa heshima sana
wito wa viongozi wa dini.
Mbowe: Ni matumaini yangu wana
CHADEMA watatuelewa kamati kuu,
asanteni sana kwa kunisikiliza.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top