Naibu wazir ya Afya Dk.Kigwangalla ametoa masaa 24 kumkamata Dk.mwaka.soka zaid.
:Naibu Waziri wa Afya Dkt. Hamisi
Kigwangalla ametoa saa 24 kwa Jeshi la Polisi
kumkamata Dk Mwaka na kumpeleka
mahakamani, baada ya kukiuka amri halali ya
serikali ya kumtaka kuacha shughuli za utabibu
wa kidaktari wa tiba za kisasa, pamoja na kuwa
na shehena ya dawa za tiba asili licha ya
kupigwa marufuku na baraza la tiba asili.
0 comments :
Post a Comment