Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, August 20, 2016

Timu ya simba imeifunga Ndanda 3--1.soma zaid

Mshambuliaji wa Timu ya Simba, Shiza
Kichuya akiachia shuti lililopelekea
kuipatia Timu yake bao la tatu dhidi ya
Timu ya Ndanda, katika mchezo wa Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa
jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini
Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Simba, Shiza
Kichuya akishangilia Ushindi sambamba
na Mashabiki wa Simba baada ya kuipatia
timu yake bao la tatu dhidi ya Timu ya
Ndanda, katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo
kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es
salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Mshambiaji wa Simba, Laudit Mavugo
akiondoka na kijiji cha wachezaji wa
Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo
kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es
salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Kipa wa Simba, Vincent Agban akiruka na
kuusindikiza kwa macho mpira ukiingia
wavuni baada ya kupigwa kichwa safi
kabisa na Mshambuliaji wa Timu ya
Ndanda, Omary Mponda na ikiwa ni goli
la kufutia machozi katika mchezo wa Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa
jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini
Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Beki wa Simba, Mohamed Hussein
akiondoka na mpira.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top