Afande selle atoa ya moyoni kuhusu kashifa ufisadi anayohusishwa zitto.soma zaid
Afande Selle anasema;
Nje ya uvyama kila Mtanzania Mzalendo anahitaji
majibu ktk hili kwani kulingana na tetesi za muda
mrefu kutoka kwa watu tofauti ni kwamba hata
uanzishwaji wa chama chetu cha ACT ni
matokeo ya matunda ya ufisadi huo mkubwa
uliotendeka ndani ya NSSF ikiwa ni malengo
maalum ya kuvuruga upinzani imara uliokuwepo
wkt wa uchaguz mkuu na si kujenga chama/
taasisi imara ya ACT....lengo kuu lilikuwa ni
kujipendekeza kwa serekali mpya ya chama
tawala kama ilivyokua ktk serikali iliyopita ya JK
ambayo kupitia serikali ile uswahiba wa kiongoz
wa chama chetu na mkurugenzi wa NSSF
ulishamiri kupita kawaida huku upigaji wa kutisha
ukitamalaki.
Lkn bahati mbaya malengo hayo hayakufanikiwa
wkt wa uchaguz kwa ACT kushindwa kwa aibu
ktk ngazi zote hali iliyopelekea serekali mpya
kuona haina sababu ya kuibeba ACT au viongozi
wake kwani haitovuna chochote na ndipo JPM
pamoja na kumsifu ZZK kipindi kile aliposalia
bungeni peke yake baada ya wapinzani wote
kutoka nje ya bunge lkn akamtosa kwa mambo
mengine tofaut JK aliyewabeba ZZK na Mr.Dau.
Hapo ndipo hasira za ZZK zikawaka na kuanza
kuwa mkosoaji mkubwa wa JPM binafsi na
serekali yake...anafanya hivyo si kwa sababu ya
uzalendo wake kwa nchi bali kwasababu maslahi
yake binafsi yameguswa....'kweli itatuweka
huru...wacha party ianze 🎻...niendele ama
nisiendeleeee...
Seleman Mshindi (Afande Sele)
Mwanachama wa ACT WAZALENDO na Mgombea
ubunge Morogoro Mjini 2015(ACT).
0 comments :
Post a Comment