Breaking News
Loading...

Advert

Monday, October 24, 2016

Anna Makinda amewaasa wanafunzi kuepuka matumizibya Dawa za kulevya.soma zaid

Makinda aliyasema hayo Jumapili hii wilayani
Same, Kilimanjaro alipokuwa akizungumza
wakati wa mahafali ya kwanza ya kidato cha
nne katika shule ya sekondari ya Mtakatifu
St.Joachim.
“Matumizi ya dawa za kulevya katika shule za
sekondari yamekuwa ya kawaida ingawa
madhara yake ni makubwa katika jamii. Madawa
hayo yanachangia maadili kumomonyoka kwani
kuna baadhi ya vijana wa kiume wanalawitiana
wenyewe kwa wenyewe,”alisema Makinda.
“Hali kwa sasa si nzuri, yaani matumizi ya dawa
hizo yameongezeka, ndiyo maana ninasema
kuna haja ya kuongeza nguvu za kupambana na
matumizi ya dawa hizo,” aliongeza.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top