Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, October 4, 2016

Baada ya ukimya Hashinu Rungwe amesema wananchi wamembatiza kuwa yeye ni Rais.soma zai


"Wananchi bado wanatambua nilichokuwa
nakifanya wakati wa mchakato wa kugombea
nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu wa
mwaka jana, na wananchi wamenibatiza jina
kuwa mimi ni Rais, kiukweli wananchi wananitia
moyo kwamba sikufanya vibaya sana pamoja na
siasa za nchi yetu zilivyo, naamini kura
nilizopewa na wananchi sizo nilizopewa na
mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, ndio maana
sikuhudhuria kwenye ukumbi wa Nyerere siku ile
ya matokeo, kura zangu zilikuwa zaidi ya zile
zilizotangazwa" Hashim Rungwe Spunda,
Mwenyekiti wa chama cha CHAUMMA

0 comments :

Post a Comment

Back To Top