Diamond ashika nafasi ya kwanza kwa utajiri Afrika mashariki kwa upande wa Wasanii.soma zaid
Diamond Ndiye Msanii Tajiri zaidi Kwa
Sasa Africa Mashariki, huu ndio mtonyo
anaomiliki
Jarida la Forbes la nchini marekani limetoa
wasanii matajiri zaidi duniani ,Africa na kanda
mbali mbali ambapo kwa upande wa Africa
mashariki.
Diamond platinum ameongoza kwa kuwa na
utajiri wa dollar million 4.5 ambazo ni zaidi ya
bilioni 10 za kitanzania hasa baada ya kununua
Nyumba yake ya south Africa.
Vitu vingine anavyomiliki ni Majumba ya
kifahari Dar,Magari ya kifahari , Berber shop,
Maduka ya nguo za mitindo ya kisasa na
vingine Vingi.
Amefatiwa na Dr Jose Kamilioni wa Uganda
ambaye anakadiliwa kuwa na utajiri wa dollar
milioni 3.9 ... Wanafatia Akothee na Jaguar
anashika nafasi ya 4
Wanachokiangalia zaidi sio pesa kwenye
account Bali thamani ya vitu anavyomiliki.....
Katika jarida hilo linaonyesha diamond akiwa
anafanya wastani wa show 2 kwa wiki show 8
kwa mwezi na show 100 kwa mwaka ambapo
show yake ya chini anakadiriwa kulipwa
wastani wa dollar elfu 20,000 na show ya juu
analipwa wastani wa dollar elfu 75,000 .
Mikataba yake na makampuni kama
Cocacola,Vodacom na DSTV
Jarida ilo linaonyesha pia diamond anaweza
vaa vitu vyenye thamani ya dollar laki 150,000
ambazo ni zaidi ya milioni 350,000,000 za
tanzania mwilini mwake kwenye shoo moja
ambavyo ni Pete,cheni,viatu kofia,shati na
suruali na vingine.
0 comments :
Post a Comment