Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, October 22, 2016

JB anusurika kifo katika ajari ya gari.soma zaid

Mwigizaji wa filamu na mtayarishaji,
Jacob Stephen ‘JB’ Ijumaa hii
amenusurika kifo katika ajali ya gari.
Mwigizaji huyo ambaye hivi karibuni
alikuwa mkoani Arusha katika
shindano la Mama Shujaa, amewataka
mashabiki wake kutambua kwamba
anaendelea vizuri pamoja na wanzake
ambao walikuwa kwenye gari hilo.
Asanteni wote mlionipa pole kwa ajali
ya jana,” aliandika JB instagram.
“Hakika Mungu ni Mwema, nipo poa
mimi na wenzangu wote. Namshukuru
sana Mungu.Thank you JESUS,”
Kwa sasa mwigizaji huyo anafanya
vizuri na filamu yake, ‘Kalambati Lobo’.
Ajali za barabarani nchini Tanzania
zinatajwa kuwa ni moja kati ya
matukio ambayo yanasababisha vifo
vingi nchini.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top