Breaking News
Loading...

Advert

Saturday, October 22, 2016

Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza aundiwa tume kwa kashifa hii.soma zaid


Chama cha Walimu Mkoa wa Mwanza
kimesema kuwa Mkurugenzi wa jiji la
Mwanza alipika takwimu za wanafunzi
hewa kwa makusudi kisha kufukuzisha
walimu wakuu 62 wilaya ya Nyamagana.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John
Mongella amesema ameunda kamati ya
kuchunguza tuhuma hizo.chanzo jamii forums

0 comments :

Post a Comment

Back To Top