Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, October 13, 2016

Ndoto ya said ilikuwa na ndoto ya kwenda China kunyoa.soma zaid


‘’Siku moja kabla ya tukio nilikuwa nimekaa ofisini
kwangu mimi nina wafanyakazi wangu, nilitoka
kwenda Kariakoo kuchukua simu huwa nafanya
biashara ya simu pia, nikawapelekea wateja
wangu, niliingia ofisini saa nne usiku baadae
nikarrudi nyumbani kwangu Mabibo,siku ya pili
yake ya tukio nilishinda ofisini tangu asubuhi
maisha yangu yote huwa nategemea marafiki,
nikipata rafiki huwa nampeleleza kama ana
mwelekeo mzuri basi tunakuwa pamoja ili niweze
kufanikiwa, kuna rafiki yangu yupo China,
nilimpeleleza kuhusu kufungua ofisi ya kunyoa
(Saluni) nchini humo, nilitaka kuwaandalia familia
maisha mazuri ndio niende China’’ Said

0 comments :

Post a Comment

Back To Top