Umoja wa mataifa umekili kuelemewa na usuruhishi wa amani.soma zaid
Umoja wa Mataifa unasema kuendelea kuzorota
kwa hali ya usalama katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo kunauzidi uwezo wa
Kikosi chake cha Kulinda Amani nchini humo
(MONUSCO), huku ukosefu wa uhakika wa
endapo Rais Joseph Kabila (pichani) ataitisha
uchaguzi unaotakiwa kufanyika mwezi ujao
ukiiweka amani ya taifa hilo kubwa katikati ya
Afrika kwenye wasiwasi.
0 comments :
Post a Comment