Wakamatwa kwa tuhuma za kuchakachua Dawa za Kilimo.soma zaid
Wakamatwa kwa tuhuma za kuchakachua dawa
za kilimo
Jeshi la polisi mkoani MTWARA linamshikilia Raia
mmoja wa CHINA na watanzania wawili kwa
tuhuma za kubandika nembo bandia katika
makopo ya dawa za kilimo zilizokwisha muda
wake.
watu hao wamekamatwa Mjini MTWARA katika
ghala la kuhifadhia dawa za kilimo na tayari
wathibitishaji wa dawa TPRI wapo njiani kuelekea
mkoani humo kwa ajili ya ukaguzi zaidi.
0 comments :
Post a Comment