Breaking News
Loading...

Advert

Sunday, October 16, 2016

Waasi wameuteka mji wa Dabiq nchini Syria.soma zaid

Waasi wanaoungwa mkono na serikali ya Uturuki
nchini Syria wameuteka mji muhimu wa Dabiq
kutoka kwa wapiganaji wa Islamic
State,kulingana na makamanda wa waasi hao
na wachunguzi.
Waasi hao waliuteka mji wa Dabiq baada ya
wanachama wa kundi la Islamic State
kuuondoka kulingana na kundi la haki za
kibinaadamu lililo na makao yake huko
Uingereza.
Mji huo mdogo wa Kaskazini una thamani
kubwa kwa IS kwa sababu umekuwa ukitajwa
katika ubashiri mwingi wa vita vya kundi hilo
pamoja na propaganda zake.
Utekaji wa mji huo ni miongoni mwa vita vikali
vilivyoanzishwa na makundi ya waasi nchini
Syria dhidi ya kundi hilo.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top