Wazir Mwigulu Nchema ameshangszwa na hili.soma zaid
Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu
Nchemba ameshangazwa na wananchi
kukimbia na kujifungia wakiogopa vikundi
vya kihalifu kama Panya Road vinapofika
kwenye mitaa yao ilihali linaundwa na
watoto wadogo ambao wanatumia silaha
za jadi.
Mwigulu amesema silaha hizo za jadi
wananchi wote wanazo hivyo wanaweza
kuwakabili.
0 comments :
Post a Comment