Zitto kabwe atoa neno kuhusu muenendo kwa sasa wa Elimu ya Tanzania.soma zaid
Kiongozi wa ACT wazalendo Zitto Kabwe
amesema serikali haitaweza kuboresha
elimu kwa kujenga madawati na elimu
bure.
Amesema ualimu imekua ni kama sehemu
ya kutokea baada ya watu kukosa sehemu
nyingine na kutaka serikali iwekeze katika
kuboresha ubora wa elimu kuliko idadi ya
wanaopata elimu hiyo tu.
Ameendelea kusema tafiti za zinazofanywa
zinaonyesha wanafunzi wanaomaliza
shule wanakuwa ni mbumbumbu kitun
ambacho kinaligharimu taifa.
Pia amesema kutumia lugha mbili za
kufundishi kinagharimu sana wanafunzi
kuelewa masomo pindi wanapobadilisha
lugha waliyokuwa hawaitumii na kutaka
serikali itumie lugha moja ili kuonda utata
huu.
0 comments :
Post a Comment