Freeman Mbowe ni mwenyekiti wa kwanza Afrika wa chama asiyepokea mshahara ndani ya chama chake.soma zaid
Shirika la kutetea haki za binadamu la human
right watch limemtaja kiongoz wa upinzan Mh
Freeman Mbowe kuwa ni mwenyekiti wa kwanza
Africa wa chama asiyepokea mshahara ndan ya
chama chake na pia ametajwa kuwa ni kiongozi
aliyeleta mageuzi makubwa ya kisiasa Tanzania
na anayeendesha shughuli za kisiasa pasipo
kuvunja haki za binadamu.
Chanzo: CNN
0 comments :
Post a Comment