Tetesi za uuzwaji wa shule ya sekondari Tegeta iliyop Dar imekanushwa.soma zaid
Dar es Salaam. Shule ya Sekondari ya Tegeta
inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya CCM,
inadaiwa kuuzwa kinyemela kwa Chuo Kikuu cha
Mzumbe.
Shule hiyo yenye kidato cha kwanza hadi cha
sita, ipo Tegeta, Manispaa ya Kinondoni jijini Dar
es Salaam. Inadaiwa wanafunzi watahamishiwa
kwingine.
Hata hivyo, Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo,
Abdallah Bulembo alisema shule hiyo haijauzwa
kama watu wanavyodai, bali imefidiwa na Chuo
cha Mzumbe.
Chanzo cha Habari: Gazeti la Mwananchi
0 comments :
Post a Comment