Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, November 9, 2016

Maelefu ya Wamarekani katika baadhi ya miji mkubwa nchini humo wanaandamana kupinga ushindi wa Donard Trump.soma zaid


Watu kwa maelfu katika baadhi ya miji
mikubwa nchini Marekani ya Newyork na Calfonia wanaandamana
kupinga ushindi wa Rais mteule, Donald
Trump kuwa Rais wa 45 wa Taifa hilo.
Baadhi ya waandamanaji wamekusanyika
nje ya Ikulu ya Marekani wakiimba nyimbo
za kumpinga Mshindi Trump.
Wengine wamejichora mwilini maneno
"Not my President"

They chanted anti-Donald Trump slogans.
They flooded city streets. They gathered
near the White House, disheartened and
dismayed.
"Not my President, not today," many
across the nation yelled.
In cities from Boston to Los Angeles,
thousands of demonstrators gathered
Wednesday night in protest of election
results that mean the billionaire real
estate developer will be the next
president.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top