Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, November 10, 2016

Mchina akamatwa na polisi baada ya kuchana noti ya tsh.1,000. soma zaid


Maeneo ya Mikocheni B, Baraka plaza, raia wa
China amechana noti ya Shillingi elfu moja akiita
Toilet Paper.
Huyu jamaa alichukua Bajaji kwenda sehemu
fulani. Maelewano ikawa ni Shilingi 4000. Lakini
akatoa shilingi 2000. Mwenye babaji alipouliza ni
kwa nini, akasema hiyo siyo sehemu ya 4000.
Kwa hiyo anampa 2000. Mwenye Babaji akakataa
kupokea.
Matokeo yake mchina huyo akachana hela na
kumtupia akisema take your toilet paper. Basi
raia waliokusanyika wakamzuia huyu mchina
kuondoka na kuita Polisi.
Mida hii Polisi wamemchukua na kuelekea naye
kituo cha Polisi Oysterbay

0 comments :

Post a Comment

Back To Top