Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, November 10, 2016

Rais wa kenya Uhuru Kinyatta ameamuru wanajeshi 100 wa kenya waliokuwa Sudani kusini Kurejea nyumbani.soma zaid.


Wanajeshi 100 wa Kenya kati ya 1,000 walioko
katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa
Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS, wamerejea
nyumbani hapo jana kwa amri ya Rais Uhuru
Kenyatta, kufuatia uamuzi wa Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kumfuta kazi
aliyekuwa kamanda wa kikosi hicho cha UNMISS
Luteni Jenerali Johnson Kimani Ondieki, baada ya
uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kusema kuwa
ombwe la uongozi lilipelekea kushindwa kwa
ujumbe huo kushindwa kuwalinda raia baada ya
kuzusha mapigano mjini Juba Julai mwaka huu.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top