Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, November 17, 2016

Majambazi waua Dar es salam usiku wa kuamkia leo.soma zaid

Majambazi yanayosadikika kuwa na silaha
Za Moto (Nyingi)Wamevamia Duka Moja
Mtaa wa Nkurumah Na Kupora Kiasi cha
Pesa Hakijajulikana Bado.
Duka Hilo Linauza Bidhaa mchanyanyiko
Min Market pia hutoa Huduma za Miamala
ya njia ya Simu M pesa, Tigo Pesa na
Airtel Money.
Wakati wakiwa kwenye Harakati hizo
Aliingia Mama Mmoja Mwenye Asili ya
Kiasia kwa Ajili ya kwenda Kununua Dawa
za Kutuliza Maumivu, Panadol Ndio
Majambazi hayo Yalipomfyatulia Risasi
Tatu Papo Hapo na Kufariki Dunia kisha
yenyewe kutoweka kusipofahamika.
Tukio Hili Limetokea kwenye duka na
Matukio ya kuporwa kwa watoa huduma
za miamala ya pesa kwa njia ya simu
imekuwa Sugu kwenye Jiji hili Na Mara
nyingi hutumika Silaha za Moto kwenye
matukio hayo.chanzo jamii forums

0 comments :

Post a Comment

Back To Top