Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, November 30, 2016

Mamia ya watu walioajiliwa vituo vya mafuta wapo hatarini kupoteza ajira zao.soma zaid

MAMIA ya watu walioajiriwa katika vituo
mbalimbali vya kuuzia mafuta maarufu kama
‘petrol stations’ wako katika hatari ya kupoteza
ajira zao , imefahamika.
Hali hiyo inatokana na kusuasua kwa mauzo ya
bidhaa hiyo, huku chanzo kimojawapo kikitajwa
kuwa ni matokeo ya hatua mbalimbali za
Serikali ya awamu ya tano katika kubana
matumizi.
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku
kadhaa umebaini kuwa tishio hilo ni kubwa zaidi
katika baadhi ya vituo baada ya wastani wa
mauzo yake kwa siku kuporomoka katika siku
za hivi karibuni hadi kwa kiwango cha takribani
asilimia hamsini.
Aidha, uchunguzi huo umebaini kuwa hadi sasa,
tayari baadhi ya kampuni zinazomiliki vituo vya
bidhaa hiyo zimeanza kuchukua uamuzi mgumu
wa kuviuza au kuvikodisha kwa watu wengine

0 comments :

Post a Comment

Back To Top