Rais wa Uganda Yoweri Mseveni na Rais wa Burundi Nkruzinza wamempongeza Donard Trump kwa Ushindi.soma zaid
Nkruzinza amempongeza Donald Trump kwa
ushindi, na akaongeza kusema kwamba hilo ni
chaguo la Wamarekani wote.
Museven naye hakuwa nyuma kupongeza ushindi
wa Trump, na akasema ataendelea kufanya kazi
na Trump kama alivyofanya kazi na Obama.
Sasa shida ipo kwa mzee Robert Mugabe, sijui
yeye atakuja na maoni gani: maana wenzake
wamejitoa ufahamu na kushangilia demokrasia
ya wenzao.
0 comments :
Post a Comment