Rapper T.I amewachana mashabiki wake wanaomsapot Trump kuachana na kufuatilia mziki wake.soma zaid
Rapper T.I ameamua kuwachana mashabiki
ambao wanapenda muziki wake lakini
wanamsapoti raisi mteule Donald Trump!
Akiongea na TMZ T.I amefunguka kuwa haoni
sababu ya kuwa na mashabiki ambao wanasapoti
sera za kibaguzi na hivyo kufikia maamuzi ya
kuwachana kuwa watemane na yeye kabisa na
wala wasijihusishe na harakati zozote kuhusiana
na muziki wake ikiwemo kununua kazi zake na
vitu kama hivyo!
0 comments :
Post a Comment