Shughulibya mazishi ya Alhaj abudukalmalick kabyemela umezikwa leo huko Bukoba.soma zaid
Shughuli ya mazishi ya Alhaji
Abdulmalick Kabyemela imeongozwa na
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali
Mstaafu, Salum Kijuu pichani Kushoto
na kuhudhuria na mamia ya
waombolezaji kutoka maeneo
mbalimbali nchini.chanzo bukobawadau blog
0 comments :
Post a Comment