Breaking News
Loading...

Advert

Monday, November 14, 2016

UDA Imekanusha Vikali madai ya Mbunge Halima Mdee.soma zaid

Dar es Salaam. Kampuni ya Simon Group
inayomiliki mabasi ya UDA na mradi wa mabasi
yaendayo haraka kwa ubia na Serikali
imekanusha vikali madai ya Mbunge wa Kawe,
Halima Mdee kuwa kuwa kampuni hiyo iliuzwa
kwake kinyemela.
Akichangia hoja hivi karibuni bungeni Dodoma,
Mdee alisema kampuni ya UDA haikuuzwa
kihalali kwa Simon Group Ltd, Waziri husika
hakuridhia kihalali uamuzi wa Baraza la jiji,
UDART iliuzwa kinyemela na SGL ilotumia
rasilimali za UDA kupata mkopo wa kuendesha
Udart.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini
Dar es salaam, Msemaji wa SGL, Deus Bugaywa
alisema madai hayo siyo ya kweli.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top