Breaking News
Loading...

Advert

Monday, November 14, 2016

Video iliyosambaa ya Calisah na Wema sepetu mtandaoni yasababisha kifo.soma zaid

Weekend hii katika mitandao ya kijamii
kumesambaa video inayomuonyesha malkia wa
filamu nchini Wema Sepetu akiliwa denda na
model Calisah.
Wawili hao ambao walitumia nguvu nyingi
kufanya siri mahusiano yao, wameumbuka kupitia
video hiyo iliyosambaa katika mitandao ya
kijamii.
Akiongea na mwandish wetu Jumatatu hii, Calisah
amesema hajui ni nani ambaye amesambaza
video hiyo mtandaoni kwani walikuwa nayo yeye
pamoja na Wema.
“Nilikuwa nachati na Wema kawaida ghafla
nikaona notification, kufungua ndio nikakuta hiyo
video na mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza
kumuuliza Wema kwa sababu video nilikuwa nayo
mimi na Wema,” alisema Calisah.
Pia model huyo amedai video hiyo
imemsababishia matatizo katika familia yake
pamoja na kumpoteza bibi yake kwa presha.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top