Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, January 19, 2017

Mh.Abdallah Possi sasa kukwea pipa kuelekea ughaibuni ambapo atakuwa balozi.soma zaid

IKULU, DAR: Rais Magufuli jana alimteua Dkt
Abdallah Possi kuwa Balozi. Kabla alikuwa ni N/
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na Walemavu.
- Tarehe ya kuapishwa na kituo cha kazi
kutangazwa hapo baadaye. Aidha nafasi ya N/
Waziri katika Wizara hiyo pia itajazwa baadaye.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top