Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, January 19, 2017

Breaking News#.Yahya Jammeh Akimbia Nchi.soma zaid


YAHYA JAMMEH Akimbia Nchi..
Taarifa kutoka Banjul-Gambia zinaarifu kuwa
YAHYA JAMMEH amesalimu amri na kukimbia nchi
ikiwa ni dakika chache kabla ya muda wake
kumalizika na Muungano wa majeshi ya Afrika
Magharibi (ECOMOG) kumuondoa kwa nguvu.
Ndege yake imeruka kuelekea kusikojulikana
ingawa inasemekana anaweza kuwa ameelekea
MOROCCO au NIGERIA.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top